MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Hadithi Ya Biashara Yako.
Tunaishi kwenye dunia ambayo watu hawanunui kwa sababu tu unauza. Zamani biashara ilikuwa rahisi, uza na watakuja kununua. Fungua biashara na watu watakuja. Tangaza biashara yako kwenye vyombo vinavyowafikia wafikia wengi na utapata wateja wengi. Ila sasa hivi mambo mengi yamebadilika. Watu hawanunui tena kwa sababu wewe unauza, hii ni