MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Ingia Kwenye Biashara Yenye Ushindani Lakini Usishindane.
Moja ya faida za kuingia kwenye biashara katika kipindi hiki ni kwmaba huna haja ya kuumiza sana kichwa ni biashara gani ufanye. Japo wengi bado wanaumia vichwa. Zama hizi kila aina ya biashara inafanywa, tena kama unapanga kuingia kwenye biashara ndogo ndogo basi popote ulipo kuna biashara zaidi ya 100