MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Upya Wa Biashara Mpya Na Unavyoweza Kuutumia Vizuri…
Biashara mpya zimekuwa na mambo mengi sana. Kuna biashara ambazo huwa zinaanza kwa wateja wachache sana na kuna nyingine zinaanza na wateja wengi sana. Biashara zinazoanza na wateja wachache tulishajadili hapa na hatua gani za kuchukua. Kama hukupata nafasi ya kusoma makala ile isome hapa; Aina Tatu Za Wateja Na