MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 570; Kazi Na Ajira…
Watu wengi wamekuwa wakichanganya kazi na ajira. Utasikia mtu akisema sina kazi ya kufanya, akimaanisha hajaajiriwa. Hii siyo sawa. Wacha tuliweke hili sawa ili tujue ni kipi hasa tunachohitaji. Ajira ni pale unapoambiwa nini ufanye. Mtu anakuajiri na kukupa majukumu yako ya kazi, ambayo unatakiwa kuyatekeleza. Hapo una ajira. Una