MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 619; Rahisi Kupata, Ngumu Kutunza…
Ni saikolojia ya binadamu kwamba, kile ambacho kinapatikana kwa urahisi, huwa hatukipi thamani kubwa. Na hivyo kutokukijali, au kutokitunza na hivyo kukipoteza haraka. Kwa mfano, watu wanaopata fedha nyingi kwa haraka, bila ya kuweka kazi kubwa, hujikuta wakipoteza fedha hizo zote ndani ya muda mfupi, au wakizitumia hovyo na kurudi