MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
USIMZUIE MTU KUOTA.
Katika jambo moja ambalo watanzania tumebobea ni kukosoa na kukatisha tamaa. Mtu anaweza kuwa na ndoto kubwa ia anapwaambia watu badala ya watu kumsaidia ni jinsi gani anaweza kuifikia ndot yake wanaanza kumkatisha tamaa kwamba hiyo ndoto haiwezekani. Hivi karibuni kumekuwa na mvutano kati ya wasanii wawili, ambao