MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
JINSI YA KUFUNGUA GOOGLE AKAUNTI; HATUA KWA HATUA.
Ili kuweza kufungua blog yako kwa kutumia blogger ni lazima uwe na google akaunti. 1. Kama tayari una google account(kama unatumia gmail) unaweza kutumia akaunti hiyo kufungulia blog. 2. Kama hutaki kutumia akaunti hiyo ama huna akaunti ya google unaweza kusajili akaunti mpya kwa hatua zifuatazo. a. Nenda www.accounts.google.com itakuja