Kiongozi Anazaliwa au Anatengenezwa? Jibu Hili Hapa.

By | March 9, 2014
Kumekuwa na mjadala au mabishano kwa muda mrefu ikiwa kiongozi anazaliwa au anatengenezwa. Wapo wengi ambao wanaamini watu wenye sifa za uongozi wanazaliwa nazo na haziwezi kutengenezwa. Wapo wengine wanaoamini viongozi wanatengenezwa kutokana na jamii wanayoishi na elimu wanayopata. Nani yupo sahihi hapa? Je wewe una maoni gani juu ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA Tags:

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz