MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Siri Kubwa Kwenye Biashara na Maisha; Kila Kitu Kinakufa.
Kuna sheria moja muhimu ambayo inatawala kwenye maisha yetu binadamu. Sheria hii iko wazi ila ni wachache sana wanaojua umuhimu wake na kuitumia kufanikiwa. Ndio maana nimeiita siri muhimu kwenye maisha, kazi na hata biashara. Sheria hiyo ni kwamba kila kitu kinakufa. Huenda tayari unaijua sheria hii na unajiuliza kwa