MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Sababu Kumi Kwa Nini Ni Muhimu Wewe Kuwa na Blog.
Blog ni sehemu ndogo ya mtandao wa internet ambapo unaweza kuweka maoni au maandiko yako na yakaonekana dunia nzima. Tofauti na website(tovuti), blog ni rahisi kuanzisha, rahisi kuendesha na haihitaji gharama kubwa, unaweza kuendesha bure kabisa. Kuna faida nyingi sana za wewe kuwa na blog, katika makala, tengeneza