MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
FEDHA; Uwekezaji Wa Fedha Zako Kama Unafanya Biashara au Umejiajiri.
Wiki iliyopita katika tabia za mafanikio tulijadili umuhimu wa kuwekeza fedha baada ya kuweka akiba kwa muda fulani. Hii inatokana na thamani ya fedha kushuka haraka sana hivyo bila ya kuwekeza unaweza kujikuta unapoteza fedha kwa kuziweka tu benki au kwingine unakuweka. Leo tutaangalia aina mbalimbali za uwekezaji ambapo mtu