MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
SIKU YA 5; Imani Imara Kwamba Unaweza Kufanikiwa.
Katika watu wote waliofikia mafanikio makubwa, kuna kitu kimoja ambacho kinapatikana kwa kila mmoja. Kitu hicho ni imani imara kwamba wanaweza kufikia mafanikio makubwa sana kwenye kile wanachofanya. Hijalishi ni kitu gani umechagua kufanya au kupata, unaweza kufanya au kupata chochote unachotaka. Lakini ni lazima ufanye mambo haya matatu; 1.