MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
SIKU YA 10; Ijue Siri Ya Kuelekea Kwenye Utajiri.
Tajiri mmoja wa kihindi aliulizwa aeleze ni kitu gani kimoja ambacho kimumwezesha kufikia mafanikio makubwa sana na kuweza kuwa tajiri sana kupitia biashara anayofanya? Alijibu “mimi ndio nguvu kubwa ya mafanikio yangu, kumfanyia kazi mtu mwingine unarudishwa nyuma au kulazimishwa kufanya kazi chini ya kiwango chako” Nafikiri kila mmoja wetu