MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mbinu 5 Zitakazokufanya Uwe Mbunifu Zaidi.
Iwe umeajiriwa au umejiajiri unalipwa kulingana na ubunifu wako. Kama unataka kulipwa zaidi, yaani kupata wateja wengi zaidi au kupata kipato kikubwa zaidi ni muhimu kila siku kuongeza ubunifu wako kwenye kile unachofanya. Hizi hapa ni mbinu tano zitakazokufanya uwe mbunifu zaidi; 1. Pata muda wa kupumzika. Tafiti zinaonesha kwamba