MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
SIKU YA 18; Jinsi Ya Kuweka Malengo Ya Faida.
Katika sehemu hii tutajifunza mambo mawili muhimu; 1. Jinsi ya kuweka malengo ya fedha kwenye maisha. 2. Jinsi ya kuendeleza ujuzi ulionao ili kufikia malengo yako ya kifedha. Kuweka malengo yako ya kifedha. Kuna malengo manne ya kifedha unayoweza kujiwekea. Malengo hayo ni; 1. Malengo ya kipato. Haya ni malengo