MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
RICH DAD; Hatua Kumi Za Kufuata Ili Kufikia Uhuru wa Kifedha – 2
Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu RICH DAD POOR DAD. Leo tunaendelea kujifunza hatua kumi za kufuata ili kuanza safari yako ya kufikia uhuru wa kifedha. 8. Hatua ya nane; ASSET zinanunua vitu vya anasa. Robert anasema ni vigumu sana kuwekeza kwenye assets kwa sababu kuna vishawishi vingi sana vya watu