MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Tumia dakika hii moja kutatua matatizo yako ya kifedha.
Ukiacha hewa ya oksijeni tunayovuta, fedha ni kitu cha pili muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu. Kama unapinga hilo acha kusoma hapa na usiendelee kulalamika kwamba maisha ni magumu.Sasa leo chukua dakika moja tu kufanya mambo yafuatayo ambayo yatabadili muelekeo wako wa kifedha.Matatizo makubwa unayopata kuhusu fedha yanatokana na