MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
TOFAUTI 17 Kati Ya Matajiri na Masikini(kwa nini masikini wanaendelea kuwa masikini na matajiri kuendelea kutajirika)
Unajua kwa nini masikini wanaendelea kuwa masikini na matajiri wanaendelea kutajirika? Hongera sana, leo utajua hapa; 1. Matajiri wanaamini wanatengeneza maisha yao, wakati masikini wanaamini maisha yanatokea. 2. Matajiri wanacheza mchezo wa fedha ili kushinda, masikini wanacheza mchezo huu ili kutopoteza,na mwishowe hawashindi. 3. Matajiri wamejitoa kweli na wana nia