MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Maswali matatu muhimu ya kujiuliza kuhusu soko.
Mafanikio yako wewe kwenye ujasiriamali yanatokana na mambo mengi sana. Moja ya jambo muhimu litakalokuletea mafanikio makubwa ni kulijua soko lako vizuri na jinsi ya kulifikia soko hilo. Na ili kufanikiwa kwa kiwango kikubwa sana unatakiwa uweze kulitawala soko kwa kiwango cha kutosha kuifanya biashara yako ipate faida kubwa na