MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Aina tatu za wateja na jinsi ya kufanya nao biashara.
M afanikio kwenye ujasiriamali yatatokana na kiasi cha mauzo unachofanya. Na kisi cha mauzo yako kinatokana na jinsi unavyowajua wateja wako na kuweza kufanya nao biashara vizuri. Wajasiriamali na wafanya bishara wengi wanafikiri wateja wote ni sawa na hivyo kujaribu kufanya nao biashara kwa mtindo mmoja. Hali hii imekuwa ikileta