MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mazoezi Ya Kujijengea Kujiamini.
Karibu mpenzi msomaji kwenye kipengele cha kujenga tabia za mafanikio na mwezi wa kumi na wa kumi na moja tunajenga tabia ya kujiamini. Kama tulivyoona kwenye makala zilizopita, kijiamini ni kiungo muhimu sana cha kuweza kufikia mafanikio makubwa. Pia tuliona njia mbalimbali za kujijengea tabia ya kujiamini. Leo tutajadili mazoezi