MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Mbinu Ya Kufikia Urefu Mkubwa.
To reach a great height a person needs to have great depth. Kufikia urefu mkubwa mtu anahitaji kuwa na kina kikubwa. Kiendacho juu kinategemea uimara wa kilichopo chini. Kama ilivyo kwamba ghorofa ndefu ina kina kikubwa na msingi imara. Nakutakia siku njema. Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram Related