MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
RICHEST MAN; Sheria Tano Za Fedha – 1
Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Ukipewa mfuko uliojaa fedha na kitabu chenye maneno ya busara utachagua nini? Hili ni swali ambalo liliulizwa na Kalabab kwa watu 27 waliokuwa kwenye mjadala. Watu wote walijibu watachukua mfuko wa fedha. Kalabab alishangaa na kuendelea kusema, sikia mbwa mwitu