MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
RICHEST MAN; Sheria Tano Za Fedha – 2
Tunaendelea na uchambuzi wa kitabu THE RICHEST MAN IN BABYLON. Na hii ni sehemu ya pili ya uchambuzi wa sheria tano za fedha. Katika sehemu ya kwanza tuliona Arkad akimpatia mwanae fedha na busara ya sheria tano za fedha. Baada ya kuwaambia watu wale sheria tano alizopewa na baba yake