MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Hasara Za Tabia Ya Kuahirisha Mambo.
Katika kujijengea tabia za mafanikio mwezi huu wa kumi na mbili tunajadili jinsi ya kuachana na tabia ya kuahirisha mambo. Tabia ya kuahirisha mambo ni tabia ambayo imeathiri watu wengi sana na kuwafanya washindwe kufikia malengo yao. Wiki iliyopita tuliona maana ya tabia ya kuahirisha mambo na kwa nini watu