MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Ni Mara Ngapi Unahitaji Kusimama Tena?
Fall seven times and stand up eight. –Japanese Proverb Anguka mara saba, nyanyuka mara ya nane. Haijalishi ni mara ngapi umeshindwa, cha msingi ni kuendelea tena. Kukata tamaa ni mwiko kama kweli unataka kuyafikia mafanikio makubwa. Nakutakia siku njema. Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram Related