MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Hapa Ndio Pa Kuanzia, Hasa kwa mwaka 2015…
The way to get started is to quit talking and begin doing. –Walt Disney Njia ya wewe kuanza ni kuacha kuongea na kuanza kufanya. Ni rahisi sana kuongea, kila mtu anaweza kuongea.. Ni rahisi sana kupanga, kila mtu anapenda kupanga na kupanga tena baada ya kupanga. Lakini kuongea na kupanga