MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kitu Hiki Kimoja Kitakufanya Uweze Kujiajiri, Uishie Kuwa Mwajiriwa Au Uishie Jela.
Habari za jumatatu rafiki?Tunaelekea kabisa ukingoni mwa mwaka 2014.Najua unefanikiwa mengi, umepata changamoto kwenye machache na umejifujza mengi pia.Najua pia unajiandaa vyema kwa mwaka 2015Leo nataka tukumbusane kitu muhimu sana ambacho ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuzingatia.Kitu hiko ni NIDHAMU…Unapoweza kuwa na nidhamu ya kujisimamia wewe mwenyewe yaani jidhamu