MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Umuhimu wa kurasimisha biashara yako.
Wajasiriamali wengi ambao pia ni wafanyabiashara wadogo wamekuwa wakifanya biashara zao kwa mazoea. Kwa kuwa mtu anawazo zuri linaloweza kutatua matatizo ya watu na wapo tayari kulipia bidhaa au huduma inayotokana na wazo hilo, mjasiriamali anaingia moja kwa moja kwenye biashara bila ya kujali mambo mengine. Ukiwa unafanya hivi unaweza