MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Vitu vinavyochochea tabia ya kuahirisha mambo na jinsi ya kuviepuka.
Kama isingekuwa tabia ya kuahirisha mambo maisha yako yangekuwa tofauti sana na yalivyo leo. Maisha yako yangekuwa bora sana na huenda ungeshatekeleza baadhi ya ndoto zako. Lakini sisi ni binadamu na mara kwa mara tunaanguka kwenye udhaifu wetu. Tabia ya kuahirisha mambo inamuathiri karibu kila mtu. Ni rahisi sana kupanga