MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 11; Watu Hawa Wanakurudisha Nyuma.
Hatimaye tupo ukurasa wa kumi na moja, kitabu chetu bado sana ila mabadiliko inabidi yaanze kuonekana mara moja. Mpaka sasa umeshakubali kwamba maisha yako yako chini yako, umeshaweka malengo makubwa ambayo unayapigania, umeshakubali kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na unabadili imani zako ili uweze kuwa na imani ya kuona