MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Jinsi ya kuandaa mchanganuo rahisi wa biashara yako.
Mchanganuo wa biashara ni muhimu sana kama kweli unataka biashara yako ikue na upate faida kubwa. Lakini wajasiriamali na wafanyabiashara wengi wadogo huwa hawaoni umuhimu wa kuandaa michanganuo ya biashara zao. Wengi huandaa pale wanapohitaji mkopo na kuambiwa ili wapewe mkopo lazima waoneshe mchanganuo wa biashara yao. Tofauti na hapo