MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 12; Furaha Inatoka Ndani Yako Na Sio Kwa Watu Au Vitu.
Watu wengi wanafikiri kwamba kama wakiwa na watu wanaowapenda basi watakuwa na furaha kwenye maisha yao. Watu wengi wanafikiri kwamba wakiwa na fedha nyingi ndio watakuwa na furaha. Watu wengi wanafikiri kwamba wakishaondokana na changamoto za maisha ndio watakuwa na furaha. Watu wengi wanafikiri kwamba kama maisha yasingekuwa magumu wangekuwa