MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 13; Jifunze Kila siku.
Hitaji la chini kabisa la wewe kufikia mafanikio kwenye eneo lolote kwenye maisha yako ni kujifunza kila siku. Ni muhimu sana wewe kujifunza kila siku, jifunze kuhusiana na kazi au biashara unayofanya, jifunze kuhusiana na maendeleo binafsi, jifunze kuhusu fedha na uwekezaji na jifunze kuhusu maisha kwa ujumla. Dunia ya