MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 15; Afya Yako Ni Kitu Muhimu Sana.
Katika vitu muhimu sana kwenye maisha yako, cha kwanza ni afya yako. Haijalishi una malengo na mipango mizuri kiasi gani kama afya yako ni mbovu hutaweza kufika popote. Na kama kwenye kipigania malengo yako, umeisahau afya yako, unaweza kushindwa kufurahia kile unachokipata hasa unapokuwa na afya mbovu. Kwa mfano utakuwa