MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#HADITHI_FUNZO; Kikwazo Kinavyoweza Kugeuka Kuwa Fursa.
Zamani kidogo mfalme mmoja aliagiza jiwe kubwa sana liwekwe kati kati ya barabara ambayo wanachi wake walikuwa wanapita. Kisha alikaa mahali na kuangalia kama kutakuwa na mwananchi atakayejaribu kuondoa jiwe lile. Watu walipita, wakakuta jiwe lile, wengine walijipenyeza pembeni wakapita. Wengine walilalamika kwa sauti jinsi gani uongozi usivyojali kuweka bara