MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 19; Ishi Leo..
Leo ndio siku pekee unayoweza kuifurahia.. Leo ndio siku pekee unayoweza kuiathiri.. Leo ndio siku pekee unayoweza kuibadili.. Na leo ndio siku pekee unayoweza kuchukua hatua ya kuboresha maisha yako. Cha kushangaza wengi hatuishi leo, tunapoteza muda wetu mzuri kwa kuishi jana na kuishi kesho. Unaishi jana pale ambapo unaendelea