MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kauli KUMI Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Martin Luther King
Martin Luther King Jr alikuwa mpigania haki za watu weusi nchini marekani. Huyu ni mmoja wa watu ambao walikufa wakipigania usawa baina ya binadamu wote. Kazi yake kubwa liyoifanya imeacha alama kubwa na leo tunaishi kwenye dunia ambayo ubaguzi wa rangi sio tatizo kubwa tena. Hapa nimekukusanyia kauli Kumi za