MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#HADITHI_FUNZO; Aliyenusurika Kufa Kutokana Na Tabia Yake Nzuri.
Kulikuwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye kiwanda cha kutengeneza mabarafu. Siku moja jioni watu wakiwa wameshajiandaa kuondoka kulitokea tatizo na hivyo ikadibi arudi kulishughulikia. Alipomaliza kushughulikia tatizo lile alikuwa ameshachelewa, milango ilikuwa imefungwa na taa zimezimwa. Alikuwa amenasa ndani ya kiwanda kile na hakukuwa na mwanga wala