MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kauli Kumi Za Kukuhamasisha Kutoka Kwa Mahatma Gandhi.
Mahatma Gandhi alikuwa mpigania uhuru wa nchi ya India. Aliweza kuongoza harakati za kuipatia India uhuru kutoka kwa waingereza na alikuwa akitumia njia za amani katika harakati zake. Mahatma Gandhi amekuwa akiwahamasisha wengi sana kwa maisha aliyoishi na harakati alizofanya na jinsi alivyoleta mabadiliko makubw akwenye nchi yake na dunia