MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Kauli KUMI Za Marcus Aurelius Zitakazokufanya Uyaone Maisha Kwa Utofauti.
Marcus Aurelius (26 April 121 – 17 March 180 AD) alikuwa mfalme wa Roma kuanzia mwaka 161 mpaka mwaka 180. Alikuwa mmoja wa wafalme watano wa mwisho wa Roma ambao walikuwa na mafanikio makubwa sana. Alipitia vipindi vigumu kwenye utawala wake lakini aliweza kufanya mambo makubwa. Pia Marcus ni mmoja