MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
SIRI YA 12 YA MAFANIKO; Shika Hatamu Ya Maisha Yako.
Wewe ndio msimamizi wa maamuzi yako. Pale unapompa mtu mwingine mamlaka haya unaacha kuwa kiongozi mkuu wa maisha yako. Pale unapochukua majukumu ya maisha yako unakuwa msimamizi mkuu wa maisha yako. Chukua hatima ya maisha yako, na utaamua maisha yako yaweje. “If you don’t run your own life, someone else