MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Kitu Muhimu Kuvaa Kuliko Nguo.
Nothing you wear is more important than your smile. – Connie Stevens Hakuna kitu muhimu unachoweza kuvaa kama tabasamu. Muda wote vaa tabasamu, hapana sio muda wote, ila tabasamu ni muhimu. Tabasamu linakarisha watu, tabasamu linaleta ushirikiano na tabasamu linaonesha kujali. Zawadi bora unayoweza kumpa mtu ni tabasamu. Na silaha