MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 65; Unahitaji Mipango Mingapi Ili Kutangaza Kushindwa?
Swali; je unahitaji mipango mingapi ili kutangaza kushindwa? Jibu; Inategemea na nini unachotaka. Kama unajaribu tu kufanya kitu unahitaji mpango mmoja tu na ukishashwindwa huo unaweza kutangaza kushindwa na ukaachana na malengo yako. Ila kama unataka kushinda, unataka kupata mafanikio, kama unachotaka ni mafanikio tu na sio kingine, basi mipango