MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Matumizi Mawili Ya Mbegu Za Mahindi.
Kama una mbegu za mahindi, unaweza kufanya vitu viwili tu na mbegu hizo. Unaweza kuzila, yaani kufanya chakula. Na unaweza kula kama ugali, makande, au hata mahindi ya kukaanga. Ni chanzo kizuri sana cha wanga, na nguvu kwenye mwili. Jambo la pili unaloweza kufanya na mbegu hizi za mahindi ni