MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Ukishafanya Kitu Hiki Kimoja, Utajua Jinsi Ya Kuishi.
“As soon as you trust yourself, you will know how to live.” ― Johann Wolfgang von Goethe Mara utakapojiamini, utajua jinsi ya kuishi. Ni vigumu sana kujua jinsi ya kuishi kama wewe mwenyewe hujiamini. Utahangaika kufanya mambo mengi na utaishia kushindwa na kukata tamaa. Unapojiamini unajua ni kitu gani hasa