MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 95; Fanya Kwa Kiasi.
Kitu chochote unachotaka kwenye maisha yako, unaweza kukipata na pia unaweza kukikosa. Kama hutaweka juhudi kwa hakika utakikosa. Kama ukiweka juhudi kupitiliza pia unaweza kukikosa. Njia nzuri na ya uhakika ya kupata chochote unachotaka na maisha yako kuendelea kuwa bora ni kufanya kwa kiasi. Usifanye kwa chini sana na usifanye