MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Faida kumi za kuwa na MAONO kama nilivyojifunza kwenye kitabu THE PRINCIPLES AND POWER OF VISION.
Rafiki yangu Meshack Maganga alinipa zawadi ya kitabu hiki. Aliniambia ni kitabu kizuri sana. Nikawa na shauku kubwa ya kukisoma na hatimaye nimekisoma na kwa kweli ni kitabu ambacho sijui kwa nini nimechelewa kukisoma. Ni kitabu chenye misingi yote ya kukuwezesha kufikia kile unachotaka kwenye maisha. Na hata kama hukijui