MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
TABIA ZA MAFANIKIO; Kujijengea Tabia Ya Shukrani.
Habari za leo msomaji wa KISIMA CHA MAARIFA, karibu kwenye kipengele hiki cha jinsi ya kujijengea tabia za mafanikio. Kupitia kipengele hiki tunajifunza tabia mbalimbali ambazo ni muhimu sana wewe kuwa nazo ili kuweza kufikia mafanikio. Kama wote tunavyojua ni kwmaba tunajenga tabia halafu baadae tabia zinatujenga. Tatizo kubwa tulilonalo