MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 102; Mara Zote Sema Ukweli, Ni Rahisi Kukumbuka.
Kuna usemi maarufu kwamba ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Sasa hebu niambie ni mambo gani unayokumbuka uliongea kuanzia mwaka huu umeanza, vipi mwaka jana, na vipi miaka mitano iliyopita? Ni vigumu sana kukumbuka kila kitu ambacho umewahi kuongea. Hivyo sehemu ya pili ya usemi huo kwmaba uwe na kumbu kumbu